Mwingine Aliyeharibu Party ya Wanigeria Kwenye Tuzo za Grammy Mwaka Huu Huyu Hapa - EDUSPORTSTZ

Latest

Mwingine Aliyeharibu Party ya Wanigeria Kwenye Tuzo za Grammy Mwaka Huu Huyu Hapa


Mwingine aliyeharibu party ya Wapopo kwenye tuzo za Grammy mwaka huu..Anaitwa @aroojaftabmusic, ni Mpakistan anayeishi Marekani. Ameshinda kipengele cha Best Global Music Performance. Essence ya Wizkid ilikuwa imetajwa pia. Naija wamekuwa na wiki mbaya sana kwenye michezo na muziki pia. Labda Wanajipoza na ushiriki wa Davido kwenye wimbo wa kombe la duniaDownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz