Mtangazaji wa Clouds FM Kenedy Atoa la Moyoni "Nimeacha Kwenda Kanisani Sababu ya Michango Kuwa Mingi" - EDUSPORTSTZ

Latest

Mtangazaji wa Clouds FM Kenedy Atoa la Moyoni "Nimeacha Kwenda Kanisani Sababu ya Michango Kuwa Mingi"


Mtangazaji wa Clouds FM Kenedy Theremedy anasema yeye kaacha kwenda kanisani muda mrefu kidogo na hapa anaeleza kilichomshinda kuhudhuria kanisani.

“Mara ya mwisho kwenda kanisani ni mwaka jana mimi kilichonishinda kwenda kanisani ni michango kuwa mingi kuliko hata nilichokifata (Neno la Mungu) tena yakulazimishana hiyo ndiyo sababu mpaka leo sijaenda” Kenedy Theremedy
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz