Msemaji wa Yanga Haji Manara Afunga Ndoa ya Pili, Wachache Waalikwa - EDUSPORTSTZ

Latest

Msemaji wa Yanga Haji Manara Afunga Ndoa ya Pili, Wachache Waalikwa


Msemaji wa klabu ya #YangaSC, Haji Sunday Manara amefunga ndoa mapema mara baada futari ya Leo April 14 2022, ndoa iliyohudhuriwa na aliowaalika tu ambapo miongoni mwa walioalikwa ni, @HamisaMobetto, @esha.s.buheti na mtangazaji @zamaradimketema.

Katika ndoa hiyo iliyofungwa na mwanamke ambaye kwa taarifa za awali inaelezea kuwa ni Aliyekuwa naye kwenye mahusiano kwa muda sasa pia viongozi kadhaa wa klabu hiyo na marafiki zake wachache wamealikwa.


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz