MAN UNITED SARE 1-1 NA CHELSEA OLD TRAFFORD -Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

MAN UNITED SARE 1-1 NA CHELSEA OLD TRAFFORD -Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

WENYEJI, Manchester United wamelazimishwa sare ya 1-1 na Chelsea katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa Alhamisi Uwanja wa Old Trafford Jijini Manchester.
Chelsea ilitangulia kwa bao la Marcos Alonso dakika ya 60 akimalizia pasi ya Kai Havertz kabla ya Cristiano Ronaldo kuisawazishia Man United dakika ya 62 akimalizia pasi ya Nemanja Matiฤ‡.
Chelsea inafikisha pointi 66 katika mchezo wa 33, ingawa inabaki nafasi ya tatu na Manchester United inatimiza pointi 57 katika mchezo wa 35, japokuwa inasalia nafasi ya sita.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz