Klabu ya soka ya Wydad Casablanca Yamshitaki MSUVA Fifa - EDUSPORTSTZ

Latest

Klabu ya soka ya Wydad Casablanca Yamshitaki MSUVA Fifa


Klabu ya soka ya Wydad Casablanca imepeleka malalamiko yake FIFA kwenye idara ya usuluhishi juu ya mchezaji wao raia wa Tanzania Simon Msuva kukiuka vigezo na masharti vilivyopo kwenye mkataba wake. Wydad wanadai Msuva aliondoka klabuni hapo bila kutoa taarifa kwa mtu yeyote.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz