Klabu ya Simba Yaanza Safari Kwenda Afrika Kusini, Pambano Kupigwa Jumapili-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Klabu ya Simba Yaanza Safari Kwenda Afrika Kusini, Pambano Kupigwa Jumapili-Michezoni leo

Wachezaji wa Simba wakiwa wanapanda ndege tayari kwa ajili ya kuanza safari ya kuelekea nchini Afrika Kusini

KLABU ya Soka ya Simba imeanza safari Alfajiri ya leo ijumaa 22, 2022 kuelekea nchini Afrika Kusini ambako itakwenda kucheza mechi yake ya marudiano dhidi ya Klabu ya Orlando Pirates ya nchini humo.

Golikipa wa klabu ya Simba Aishi Manula naye ni sehemu ya wachezaji walioelekea nchini Afrika Kusini kwa ajili ya mchezo wa marudiano dhidi ya Orlando Pirates

Simba inakwenda Afrika Kuisni ikiwa na faida ya ushindi wa bao moja ilioupata katika mchezo wa kwanza uliofanyika jijini Dar es Salaam katika Uwanja wa Benjamin Mkapa Aprili 17 mwaka huu

The post Klabu ya Simba Yaanza Safari Kwenda Afrika Kusini, Pambano Kupigwa Jumapili appeared first on Global Publishers.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz