Diamond Platnumz Ametambulishwa Rasmi Kuwa Brand Ambassador wa Airtel Tanzania - EDUSPORTSTZ

Latest

Diamond Platnumz Ametambulishwa Rasmi Kuwa Brand Ambassador wa Airtel Tanzania


Wengi Usiku wa Jana walitarajia Diamond Atamtangaza Mpenzi wake lakini Haikuwa hivyo Bali ilikuwa ni kiki tu ya Ubalozi Mpya Ambao ameaupata

Itoshe Kusema tu, It’s another Win For SIMBA, Diamond Platnumz ametambulishwa Rasmi kuwa Brand Ambassador wa Airtel tanzania .






Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz