Uzinduzi wa VIDEO za EP ya FOA Kufanyika Cinemax Mlimani City - EDUSPORTSTZ

Latest

Uzinduzi wa VIDEO za EP ya FOA Kufanyika Cinemax Mlimani City


Kama ulifikiri matukio kuhusu Extended Playlist ya #FOA yameisha basi umekosea, na taarifa ni kwamba mapema wiki hii siku ya jumatano mwanamuziki @diamondplatnumz anakwenda kufanya uzinduzi mwingine kuhusu EP yake hiyo.

Ni Uzinduzi wa video zinazopatikana katika EP yake ya FOA ambao kupitia ukurasa wake rasmi wa Instagram ametangaza kuwa uzinduzi huo utafanyika tarehe 23.03.2022, huku akieleza kuwa kila kitu kitakua tofauti.


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz