Naitabiria EP ya First Of All (#FOAtheEP) yake diamond platnumz kuvunja rekodimbalimbali afrika - EDUSPORTSTZ

Latest

Naitabiria EP ya First Of All (#FOAtheEP) yake diamond platnumz kuvunja rekodimbalimbali afrika


Ijumaa hii ya tarehe 11, diamond platnumz anaachia ep yake ya kwanza tokea aanze mziki... Ep hiyo kaipa jina la FOA (First Of All) ambayo hash tag yake #FOA imejizolea umaarufu kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii

Kwa kuangalia mapokezi ya jina tu, basi naamini hii ep itaenda kuacha historia kubwa sana katika mziki wa bongo flavour na kuvunja rekodi mbalimbali afrika kwa ubora na tuzo zitakazobebwa

Ni suala la muda tu

NAWASILISHA

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz