Kanye West Aandika Shairi la Kifo "Hakuna Aliyeniambia Kuwa Nimeshakufa" - EDUSPORTSTZ

Latest

Kanye West Aandika Shairi la Kifo "Hakuna Aliyeniambia Kuwa Nimeshakufa"


KanyeWest is revealing his darkest thoughts.
Following his “Divorce” poem, the newly-single rapper shared another poem called “Dead” in which he opens up about his struggles, while coming to the realization that he’s not really living.

“No one wanted to tell me I was DEAD / And only people that would talk to me were in my head,” the poem begins. “No one wanted to tell me I was DEAD / Only people who loved me visit in their dreams instead.”


#kanyewest anaonyesha kuumizwa na kuvunjika kwa ndoa yake kiasi kwamba ametunga shairi kuhusu kifo chake linalokwenda kwa jina “DEAD”. Ameanza kwa kuandika kuwa hakuna mtu alimwambia ukweli kuwa kashakufa…akilenga kuwa kitendo cha kuachwa na #KimKardashian kimemucha bila uhai bila yeye mwenyewe kujua. Shairi hilo limejaa maneno ya huzuni na yenye kusononesha.


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz