Fid Q "Maoni Yenu Kuhusu Steve Nyerere Tumeyaona, Tunaomba Muwe na Subira..Kesho SHIRIKISHO Litatoa TAMKO - EDUSPORTSTZ

Latest

Fid Q "Maoni Yenu Kuhusu Steve Nyerere Tumeyaona, Tunaomba Muwe na Subira..Kesho SHIRIKISHO Litatoa TAMKO


MAONI yenu tumeyaona na kuyazingatia.. Kwa ufupi tumeziona pande zote TATU za HISIA, wapo wanaoamini ANAFAA.. wapo wanaoamini HAFAI, wapo ambao wapo curious wanataka kujua atafanya nini akipewa MUDA..

————-> tunaomba muwe na subira.. kesho SHIRIKISHO litatoa TAMKO.. 🙏🏾
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz