Drake Apigwa na Kitu Kizito Kichwani, Apigwa Zaidi ya Milioni 645 Kwenye Betting - EDUSPORTSTZ

Latest

Drake Apigwa na Kitu Kizito Kichwani, Apigwa Zaidi ya Milioni 645 Kwenye Betting


Drake amekuwa akitafuta njia nyingine ya kuongeza kipato chake, na sasa ameamua Ku-bet. Juzi alipigwa na kitu kizito kichwani mara baada ya kuliwa zaidi ya TSh. MILIONI 645 kwenye pambano la UFC ambapo alimpa ushindi Masvidal ambaye alipigwa na Colby Covington.

Baada ya pambano hilo, Colby Covington alimtolea povu Drizzy kwa kumwambia aachane na haya mambo na arudi kuuza album zake za kipuuzi.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz