Burna Boy Amekuwa Mwimbaji wa Kwanza Kutoka Nigeria Kuujaza Ukumbi wa Accor Arena Ufaransa - EDUSPORTSTZ

Latest

Burna Boy Amekuwa Mwimbaji wa Kwanza Kutoka Nigeria Kuujaza Ukumbi wa Accor Arena Ufaransa


Burna Boy aka African Giant amekuwa mwimbaji wa kwanza kutoka Nigeria kuujaza ukumbi wa Accor Arena mjini Paris Mara Mbili. Burna Ameuza Tiketi zote za tamasha lake la SpaceDrift kwenye ukumbi unaoingiza watu 20,000. Awali Burna Boy aliwahii kuujaza ukumbi huu Novemba 10, 2021.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz