Kiwanda cha kutengeneza magodoro kinachomilikiwa na Kampuni ya GSM kilichopo eneo la Mikocheni (karibu na Cocacola) Jijini Dar es Salaam kinaungua moto muda huu, bado chanzo cha moto huo hakijajulikana.

No comments:
Post a Comment