Big Brother, msanii Dully Sykes amekoshwa na EP ya Diamond Platnumz - EDUSPORTSTZ

Latest

Big Brother, msanii Dully Sykes amekoshwa na EP ya Diamond Platnumz


Big Brother, msanii Dully Sykes amekoshwa na EP ya @diamondplatnumz "First Of All" yenye jumla ya ngoma 10. Amebainisha kuwa EP hiyo ni kiboko.

@princedullysykes ameeleza hayo kupitia insta story yake, "Nimeisikiliza #FOA ya Diamond Platnumz... Kiboko!! 🔥🔥💪".

Ikumbukwe EP ya Diamond namba zake sio za mchezo mchezo tangu ipakiwe kupitia Digital Platforms mbalimbali. Diamond aliachia rasmi EP hiyo Machi 11.


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz