TANESCO: Kuanzia Julai, Luku Itaingia Bila Kuandika Token Kwenye Mita - EDUSPORTSTZ

Latest

TANESCO: Kuanzia Julai, Luku Itaingia Bila Kuandika Token Kwenye MitaMkurugenzi Mkuu wa TANESCO, Maharage Chande amesema Mwaka wa Fedha 2022/2023 utakaoanza Julai utakuja na mabadiliko kwenye mita za LUKU, na wataanza kutumia ‘Smart Meters’

Smart Meters zitafanya umeme uwake moja kwa moja bila kuandika token kama ilivyo sasa. Kwa mujibu wa Chande, itakuwa kama ilivyo kwenye ving’amuzi tu

Suala la kutumia Token liliwahi kuzungumzwa na Mshiriki wa Shindano la #StoriesOfChange la JamiiForums, Nathanael Mpasi, kutokana na changamoto zake ikiwemo mtu akiwa amesafiri na umeme ukiisha nyumbani


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz