Mwanajeshi wa Ukraine, Amejilipua katika daraja alilokuwa akilinda, ili kupunguza kasi ya majeshi ya Urusi kuufikia mji mkuu - EDUSPORTSTZ

Latest

Mwanajeshi wa Ukraine, Amejilipua katika daraja alilokuwa akilinda, ili kupunguza kasi ya majeshi ya Urusi kuufikia mji mkuu


Mwanajeshi wa Kamandi ya Maji ya Ukraine, Vitali Shakun amejilipua katika daraja alilokuwa akilinda, ili kupunguza kasi ya majeshi ya Urusi kuufikia mji mkuu, na kutoa muda kwa wenzake kujipanga. 

Alituma ujumbe kwa wenzake kwa anakwenda kutegua bomu lililotegwa darajani hapo.  


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz