Mange Kimambi Adai Kumchangia Wema Sepetu Anunue Gari ni Upumbavu Uliyopitiliza - EDUSPORTSTZ

Latest

Mange Kimambi Adai Kumchangia Wema Sepetu Anunue Gari ni Upumbavu Uliyopitiliza
Reposted from @mangekimambi_ Ila Watanzania sometimes sijui mkoje yani….

Mnakumbuka mlivyoanza kumchangia Wastara nikawaambia msimchangie because ni upumbavu, this time naomba niseme kuwa hata kumchangia Wema Sepetu ni upumbavu uliopitiliza, Ni bora hata ile ya kumchangia Wastara kuliko hii kumchangia Wema. Hii ya Wema ni utaahira uliopitiliza. Na kama umechanga jijue we ni mmoja kati ya mataahira wa taifa. Hapa mnapigwa na wapigaji wa mjiniiii!!!

It’s nothing personal against Wema, I like Wema. Ila mimi kama dada yenu wa taifa mnapokosea kama watanzania lazma niwaweke sawa….


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz