Haji Manara Awapiga Kijembe Simba "Mwambie Atoa Milioni 20 Katika Ile Bilioni 85 Mpige Rangi Makao Makuu yenu" - EDUSPORTSTZ

Latest

Haji Manara Awapiga Kijembe Simba "Mwambie Atoa Milioni 20 Katika Ile Bilioni 85 Mpige Rangi Makao Makuu yenu"
Ameandika Haji Manara Kwenye Ukurasa Wake wa Instagram:

"Nyie Banchikicha c mwambieni katika zile B 85 za michongo atoe hata Milioni ishirini tu apige hata rangi?

Mnashindwa hata na Magofu ya kale kule Kilwa 🤪🤪🤪" Haji Manara
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz