Watoto Wawili Wamefia Ndani ya Gari Baada ya Kujifungia na Kukosa Hewa Kigamboni - EDUSPORTSTZ

Latest

Watoto Wawili Wamefia Ndani ya Gari Baada ya Kujifungia na Kukosa Hewa Kigamboni


Watoto wawili wamefia ndani ya gari (Nissan Double cabin) kwa kukosa hewa Kigamboni Dar es salaam baada ya kujifungia milango huku vioo vikiwa vimefungwa nje ya Kanisa huku Mama yao akiwa kwenye ibada.

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum Dar es salaam Muliro Jumanne amesema tukio hilo limetokea jana Jumapili Salanga Ugindoni Kigamboni wakati Mama yao Neema Shayo (33) akiwa kwenye ibada kwenye Kanisa la Efatha.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz