Mtangazaji Lil Ommy Ateuliwa Kuwa Mjumbe wa Kamati ya Tamasha la Serengeti (Serengeti Music Festival) - EDUSPORTSTZ

Latest

Mtangazaji Lil Ommy Ateuliwa Kuwa Mjumbe wa Kamati ya Tamasha la Serengeti (Serengeti Music Festival)


Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Innocent Bashungwa amefanya uteuzi wa wajumbe wa Kamati ya Tamasha la Serengeti (Serengeti Music Festival).

Mtangazaji wa WasafiFM #THEMVP @lilommy ni miongoni mwa Wajumbe walioteuliwa na Waziri Innocent Bashungwa kuwa wajumbe wa Kamati ya Serengeti Music Festival

Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo. Dkt. Hassan Abbasi imesema kuwa uteuzi wa wajumbe wa kamati hiyo kwanza utasaidia kuratibu tamasha hilo la kitaifa lenye dhima ya kuwaleta wasanii pamoja.

Chini ni Orodha Kamili ya Wajumbe wa Kamati hiyo






Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz