AY Yamfika Hapa Kuhusu Mziki wa Amapiano "Ma DJ na Wanamuziki Mnaoimba Amapiano Nani Kashaitwa South Kupiga Hela" - EDUSPORTSTZ

Latest

AY Yamfika Hapa Kuhusu Mziki wa Amapiano "Ma DJ na Wanamuziki Mnaoimba Amapiano Nani Kashaitwa South Kupiga Hela"


Masta @aytanzania Mzee wa Commercial ameuliza kuhusu biashara ya muziki wa Amapiano kwa wasanii wa Tanzania nchini South Africa kama wao wanavyokuja kwa wingi kupiga pesa Tanzania.

Kupitia page yake ya Twitter AY ameandika kwamba "Wakuu, wasanii na Ma Dj's waliokuwa busy na kufanya Amapiano hapa Tanzania, mpaka leo nani kashaenda South Africa kuokota hela zao tujifunze biashara"
-
"Maana naona wasanii na dj's wa South Africa wanavyokuja kuokota hela Bongo,nini shida".

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz