Aliyemtishia Nape Bastola Kizimbani..Ni Miongoni wa Askari Wanao Daiwa Kumuua Mfanyabiashara Mtwara - EDUSPORTSTZ

Latest

Aliyemtishia Nape Bastola Kizimbani..Ni Miongoni wa Askari Wanao Daiwa Kumuua Mfanyabiashara Mtwara


Aliyemtishia Nape Nnauye (sasa Waziri wa Habari) kwa bastola (Machi 23, 2017) amepandishwa kizimbani akiwa ni miongoni mwa maofisa saba wa polisi wanaotuhumiwa kuhusika na mauaji ya mfanyabiashara wa madini, Musa Hamisi na kuchukua fedha zake TZS milioni 70.


HT: Mwananchi
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz