Unamkumbuka Mwigizaji SHOGA Kwenye Series ya Empire? Huenda Akafungwa Miaka Mitatu Jela Kwa Kutafuta Kiki ya Kupigwa Kisa Ushoga - EDUSPORTSTZ

Latest

Unamkumbuka Mwigizaji SHOGA Kwenye Series ya Empire? Huenda Akafungwa Miaka Mitatu Jela Kwa Kutafuta Kiki ya Kupigwa Kisa Ushoga


Muigizaji Jussie Smollett amekutwa na hatia ya makosa matano ya mwenendo usiofaa (disorderly conduct) kwa kuidanganya idara ya polisi mjini Chicago kwenye tukio lake la January 2019.

Smollett ambaye alipata umaarufu kupitia filamu ya 'EMPIRE' anadaiwa kutoa taarifa za uongo kwa polisi kwenye shtaka lake ambalo alidai kushambuliwa na watu wawili kwa sababu za kiubaguzi na chuki ikiwemo ishu yake ya kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja.

Waendesha mashtaka wamesema tukio hilo ni la kupangwa na halina uhalisia kwani muigizaji huyo aliwaandaa watu hao kwa lengo la kutafuta Kiki tu. Hukumu yake inaweza kuwa miaka mitatu gerezani na faini ya TSh. 57M. Atafikishwa tena mahakamani January 27, 2022.





Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz