Unaambiwa Wizkid Amekunja Bilioni 6 Kutoka Kwenye Show 3 za 02 Arena... - EDUSPORTSTZ

Latest

Unaambiwa Wizkid Amekunja Bilioni 6 Kutoka Kwenye Show 3 za 02 Arena...


Kwa mujibu wa Billboard, Wizkid ameingiza kiasi cha ($2.9 million) ambazo ni sawa na zaidi ya TSh. Bilioni 6.6 kwenye maonesho yake matatu ambayo aliyafanya katika ukumbi wa 02 Arena Jijini London Uingereza mnamo Novemba 28, 29 na Disemba 1 mwaka huu.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz