Shamsa Form Alia "Hamisa Mobetto Umetuletea Matatizo Makubwa" - EDUSPORTSTZ

Latest

Shamsa Form Alia "Hamisa Mobetto Umetuletea Matatizo Makubwa"“Sasa hivi wazazi wengine wanatamani wapate mkwe kama Rick Ross huku wanasahau wametulisha vipolo tangu utotoni, tuna mitumbo mikubwa kama kabati la kuhifadhia vitumbua, English nayo hatupatani dah😂😂

“Dah! Hamisa umetuletea matatizo, wanaume zetu hawana thamani sasa hivi-” #shamsaford

Tangaza nasi 0714604974

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz