Rapper Namba Moja Bongo Rosa Ree Atangaza Kuachua Album - EDUSPORTSTZ

Latest

Rapper Namba Moja Bongo Rosa Ree Atangaza Kuachua Album
Tegemea Kukutana Na Album Ya Msanii @rosa_ree Mapema Mwanzoni Mwa Mwaka 2022, Rosa Ree Ameshare Hayo Katika Insta Story Yake Akiandika “Whenever Someone Listen To My New Album😋😏 Cant Wait To Release It. Beginning Of Next Year😎”

Pamoja Na Kuweka Wazi Taarifa Hiyo Rosa Ree Hajataja Jina La Album Hiyo, Tarehe Atayoiachia Wala idadi Ya Nyimbo Zitakazopatikana Kwenye Album Hiyo


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz