Picha la Kutisha...Harmonize na Ali Kiba Wakutana Kwenye Ndege...Hawa Wakiungana Mondi Kwishney


#OnTrending now ni Picha ya pamoja ya wanamuziki @harmonize_tz na @officialalikiba ,ambao wamekutana katika Usafiri wa ndege kuelekea jijini mwanza.

Harmonize ndie mtu wa kwanza kuShare picha hiyo katika ukurasa wake wa Instagram, huku akiandika ujumbe unao-onesha kumuunga mkono mwanamuziki mwenzake @officialalikiba kuelekea tour yake ya #TheOnlyOneKing jijini mwanza.

Unamaoni gani kuhusu picha hii..?




0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post