Mwanamuziki Ruby Afunguka Uwezekano wa Kurudiana na Kusah - EDUSPORTSTZ

Latest

Mwanamuziki Ruby Afunguka Uwezekano wa Kurudiana na KusahMsanii wa Bongo Fleva, Ruby amesema suala la kurudiana na mpenzi wake wa zamani, Kusah ni jambo lisilowezekana.

Ruby ambaye alikuwa amejaliwa kupata mtoto mmoja Kusah, alidai kuachana kwao ni kwamba Kusah alikuwa akimpiga mara kwa mara.

"Hizo ni ndoto za Firauni, zishindwe kwa jina la Yesu" Ruby amemjibu shabiki aliyetaka kurudiana na Kusah.

Ikumbukwe kipindi cha mahusiano yao, Ruby na Kusah walifanikiwa kutoa nyimbo mbili pamoja ‘Chelewa na Nadondosha’ na kupata mapokezi makubwa.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz