Kumekucha..Inasemekana Aaliyah wa Wasafi Akimbilia EFM na TVE" - EDUSPORTSTZ

Latest

Kumekucha..Inasemekana Aaliyah wa Wasafi Akimbilia EFM na TVE"Kwa Mujibu wa Mange App, inasemekana mtangazaji wa kipindi cha Refresh ya Wasafi TV, Aaliyah ameshamwaga wino E MEDIA (EFM/TV E).

Bado taarifa hii haijathibitishwa na upande wowote uliotajwa, lakini Kwa tetesi za chini ya Kapeti ni kuwa jini Mahaba ndiye aliyeleta vurumai hili pale Usafini, ikisemekana CEO aliingilia penzi la Director ambaye alikuwa akicheza na bucha ya Host wa Refresh, sababu iliyofanya Director huyo kutemana na CEO, Mikandamizo ikawa Host na CEO, baadae ikatokea mwimbaji wa Sukari akazama kwa CEO,akaanza kudambua😁, Hasa Inasemekana ishu hiyo imemkasirisha HOST😁.
..
Dah! Sema hii taarifa imekaa kiudaku sana,sijapenda😁🙌
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz