Kumekucha, Maua Sama na ALI KIBA Waungana Kuipinga AMAPIANO " Siwezi Fanya Hata Uje na SUMA JKT na wale makomando wa Miaka 60 ya Uhuru" - EDUSPORTSTZ

Latest

Kumekucha, Maua Sama na ALI KIBA Waungana Kuipinga AMAPIANO " Siwezi Fanya Hata Uje na SUMA JKT na wale makomando wa Miaka 60 ya Uhuru"

 


AliKiba amemuunga mkono mwimbaji Maua Sama katika kuupiga vita kali muziki wa Amapiano, Kiba amekaa upande wa @mauasama ambaye kupitia twitter aliileta hoja hiyo na kuweka msimamo wake kwamba kuimba kwenye biti ya Amapiano inabidi mtayarishaji aje na SUMA JKT na wale makomando wa Miaka 60 ya Uhuru
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz