Kajala "Mapenzi Hayaumizi Bali Kumpenda Mtu Asiye Sahihi Kunaumiza" - EDUSPORTSTZ

Latest

Kajala "Mapenzi Hayaumizi Bali Kumpenda Mtu Asiye Sahihi Kunaumiza" 

Baada ya kudai kua hajawahi kuwa na EX' bali amewahi kuwa na mfano wa kitu gani asikifanye tena, nyingine kutoka kwa aliyekua mpenzi wa mwanamuziki 'Harmonize @kajalafrida kupitia insta story yake ameandika kuwa;
“mapenzi hayaumizi bali kumpenda mtu asiye sahihi kunaumiza”.

Mfululizo wa post hizi unahusishwa na kile ambacho mwanamuziki #harmonize amekitangaza, kuingia kwenye penzi jipya na mrembo kizungu kutoka Australia @briana__tz .

✍🏾@keviiiy.iam
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz