Huenda Lukumba na WCB Wametupiana Virago... - EDUSPORTSTZ

Latest

Huenda Lukumba na WCB Wametupiana Virago...
Mpiga picha wa CEO wa Wasafi na Msanii @diamondplatnumz Maarafu kama @lukambaofficial ameondoa utambulisho kama mpiga picha wa msanii huyo kwenye ukurasa wa instagram.

Sasa kumekuwa na tetesi hizi za muda mrefu kuwa @lukambaofficial ameondoka katika lebo hiyo na kama unakumbuka hivi karibuni kuliibuka tetesi hizo kuwa mpiga huyo amefungua kampuni yake binafsi.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz