Hati ya Mashhtaka ya Paul Makonda Yaboreshwa - EDUSPORTSTZ

Latest

Hati ya Mashhtaka ya Paul Makonda Yaboreshwa


Mwandishi wa habari, Saed Kubenea kupitia wakili wake, Hekima Mwasipu, leo Ijumaa wameomba kuondoa maombi yakufungua kesi ya matumizi mabaya ya madaraka dhidi Paul Makonda katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni, ili waboreshe hati ya mashtaka. Tayari ameshafungua maombi upya.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz