Za Ndani Kabisa, Fred Vunja Bei na Hamisa Mobetto Vikao Vinaendelea - EDUSPORTSTZ

Latest

Za Ndani Kabisa, Fred Vunja Bei na Hamisa Mobetto Vikao Vinaendelea



Siku ya jana tarehe 22/11, Mwanamitindo na msanii wa Bongo Flava, Hamisa Mobetto kupitia Insta Story yake,aliwatolea uvivu waunganisha picha na wanaombambikia kuwa anaolewa na Wanaume ambao hata hawatambui😁.

Hasa chukua hii Exclusive ya leo tarehe 23/11 kutokea kwa Member wa TOO MUCH MONEY😁, @mwijaku_01 ambaye amefunguka kuwa Hamisa Mobetto na mfanya biashara, Fred Vunjabei ni watu ambao wako kwenye hatua za mwisho kukamilisha suala lao la ndoa. Akiwa kwenye LEO TENA ya Clouds Fm Mwijaku amedai ana hadi meseji za vikao vinavyoendelea kuhusiana na jambo hilo.

By @sajomedia




Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz