Romyjons "Lukamba Tafuta Pesa Mdogo Wangu" - EDUSPORTSTZ

Latest

Romyjons "Lukamba Tafuta Pesa Mdogo Wangu"
Baada ya Lukamba kupost video kwenye ukurasa wake wa instagram akiwa kwenye muonekano mpya wa nywele kama za kike, Kaka wa Diamondplatnumz RomyJons amemshauri Lukamba atafute pesa, ‘’Tafuta pesa mdogo wangu’’~RomyJons.

Lukamba alimjibu Romjons kwa kumwambia:- ‘’We ulie tafuta una nini’’ na emoj ya kucha.
MamaDangote akaingilia kati na ku-Comment ‘’Suraaaaaaa’’ na emoj ya kucha.

Weka maoni yako hapa kuhusu suala hili.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz