P Square Wamerudi, Kutumbuiza Pamoja Tarehe 18 December - EDUSPORTSTZ

Latest

P Square Wamerudi, Kutumbuiza Pamoja Tarehe 18 December


Kwa mara ya Kwanza baada ya miaka mi 5 kupita mapacha wanaounda kundi la P'Square Peter & Paul Okoye watatumbuiza kwa pamoja katika tamasha lililopewa jina la P'Square reactivated.

Tamasha hilo litakalo fanyika tarehe 18 Mwezi ujao ,litakalua tamasha la kwanza kuwakutanisha wanandugu hao katika jukwaa moja baada kutofautiana katika kipindi kirefu/ tangu 2016 ,hii ikiwa ni siku chache tu tangu wawili hao walipo tangaza kupatana rasmi.


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz