Nay wa Mitego Adai Kusah ni Msanii Mzuri Lakini Anaonekana King'asti - EDUSPORTSTZ

Latest

Nay wa Mitego Adai Kusah ni Msanii Mzuri Lakini Anaonekana King'asti


Rapper @naytrueboytz ameeleza kuwa msanii #Kusah ni msanii mzuri sana ,lakini watu wanashindqa kumzingatia kwa sababu ya mambo yake ya mahusiano.

Ney amefunguka hayo kupitia insta story yake, akieleza kuwa hata yeye humsikiliza sana msanii huyo, lakini watu wanashindwa kumzingatia kwakua anaonekana king'asti (mtu wa kulelewa kwenye mahusiano) na kama hayupo serious na muziki wake, huku mahusiano yake yakiwa na promo kubwa kuliko.

Aidha rapper huyo amemaliza kwa kumahauri msanii huyo kuchagua moja kati ya mahusiano ama mziki wake kwakua bado ana nafasi ya kufanya vizuri zaidi kwenye muziki.

✍🏾@keviiiy.iam


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz