Msanii Mkongwe Nchini Tanzania Aipigia Salute Album ya Harmonize - EDUSPORTSTZ

Latest

Msanii Mkongwe Nchini Tanzania Aipigia Salute Album ya Harmonize


Msanii Mkongwe Nchini Tanzania @husseinmachozi100 amekoshwa na album mpya ya @harmonize_tz “High School” yenye jumla ya ngoma 20 Amebainisha kuwa album hiyo ni noma.

Hussein Machozi ambaye ni hitmaker wa nyimbo kama Full Shangwe, Utaipenda, Kafia Gheto na nyingine, ameeleza kwamba, kwa upande wake album ya High School ndio album yake bora sana.

✍“Mipango mikubwa HIGHSCHOOL ni noma sana kusema ukweli. Kwangu mimi hii ni the best album ever. @harmonize_tz me sisemi sana wacha watu waenjoy” - Unasomeka ujumbe wa Hussein Machozi kupitia ukurasa wake wa instagram.


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz