elru87tYGBGEm Mkuu wa Wilaya ya Moshi Awataka Watendaji wa Serikali Wasiochanja Wajieleze - EDUSPORTSTZ

Latest

Mkuu wa Wilaya ya Moshi Awataka Watendaji wa Serikali Wasiochanja WajielezeMkuu wa Wilaya ya Moshi, Said Mtanda ametoa maagizo kwa Watendaji wa Serikali kuhakikisha 60% ya Watumishi wamechanja Chanjo ya #COVID19 na wasiochanja waeleze sababu

Amesema ni vigumu kwa Mtumishi wa Afya ambaye hajachanja kumpokea Mgonjwa ambaye amechanja kwa kuwa anaweza kuwa sehemu ya kuambukiza wengine

Download Our Udaku Special APP Kutoka Google Play Store Kwa Kutumia Link Hii Hapa>>>


Manispaa ya Moshi imepata Dozi 4,770 za #Sinopharm huku ikiwa imetoa 11% ya Johnson & Johnson walizopokea awali ambapo Watu 2,000 wamechanja katika Dozi 18,000 zilizopokelewa


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz