Mke wa Aristote "Mume Wangu Kuwa Chawa sio Tatizo ili Mradi Alete Hela Nyumbani" - EDUSPORTSTZ

Latest

Mke wa Aristote "Mume Wangu Kuwa Chawa sio Tatizo ili Mradi Alete Hela Nyumbani"Mke wa @aristotee , Emmy amedai mumewe kuwa chawa kwake anaona ni jambo zuri tu maana kila akitoka kwenye uchawa na mastaa kama Diamond,Irene Uwoya na Freddy VunjaBei lazima arudi nyumbani na mtonyo mzuri tu, hivyo kwake anaona ni kazi nzuri.

Haya ameyasema akiwa ndani ya Big Sunday Live ya Wasafi TV.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz