Maskini Munalove Afunguka Haya Baada ya Kufanyiwa Operation "Acha Mungu aitwe Mungu" - EDUSPORTSTZ

Latest

Maskini Munalove Afunguka Haya Baada ya Kufanyiwa Operation "Acha Mungu aitwe Mungu"


Acha Mungu aitwe Mungu . Baada ya kumaliza Surgery yangu nilitoka Salama na apa waliniwekea hii Sijui mashine ya nini mliosomea udoctor mnajua.

Ili kua ni muda wa mimi kusubiria niamke. Na ni kawaida mtu akitoka chumba cha surgery kuna hatua zinapita labda uwe na tatizo , Sio kama yule alivyowatisha na video alizo nazo nazani kama hizi .

Na Nilimwambia mtu anaenishoot asiache kila hatua ili niwawekee muone na niepushe maswali , Umefanyaje mwili

……..ila kwa maneno ya wanandamu nilisali nikamwambia Baba yangu wa Mbinguni usiniache wakapata la kuongea hiki kinachofanyika wewe ndio ushike usukani wasikosee ukawe doctor wa madoctor na malaika wanilinde ooooh Asantee YESU πŸ™❤️

Mwokozi wangu yu hai , siku zote nimekua nafanya kile nachopenda na naishi kile nachoamini na kikubwa Imani yangu na YESU AIJAWAHI KUSHUKA
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz