Mange Kimambi Awasanua Mastaa Bongo "Msifanye Interview Bure Mimi Nitakuwa Nawalipa" - EDUSPORTSTZ

Latest

Mange Kimambi Awasanua Mastaa Bongo "Msifanye Interview Bure Mimi Nitakuwa Nawalipa"


Mastaa wa Tanzania, Kenya na East Africa kwa ujumla nina habari njema kwenu. Mange Kimambi App itakuwa inalipa kuanzia $300 mpaka $2,000 kwa ajili ya exclusive interviews.

Inabidi muelewe kuwa kila unapokwenda kwenyw kituo cha habari na kuongea nao unaenda kumtajjirisha mtu. Huku mambelez mastaa wanalipwa kufanya exclusive interviews. Usifanye exclusive interviews za bure unamtajirisha mtu na wewe hupati chochote.

Mange Kimambi App tunataka ku creat win-win situation. Sisi tunawin na wewe unawin .

So ikitokea issue watu wangu watawatafuta na mtakubaliana amount then interview itafanyika. Kiasi cha fedha kitatokana na uzito wa issue yenyewe utakayokuja kuiachia.

So kuanzia leo ukiitwa interview ya bure usiende, tucheki kwanza Mange Kimambi App. Kama tunaitaka story yako tunaongea fastaaa tu….

Msikubali kutumika bure, wawalipe pesa. Mnanogesha media za watu bure? Mnawaongezea utajiri bure? Kwanini wasigawane huo utajiri na nyinyi mnaowapa content kama jinsi sisi tutagawana na nyinyi?

Na Kama hutaki pesa yetu labda you don’t need it, that’s fine, tuambie charity of your choice then tutatoa hiyo pesa kwenyw charity kwa jina lako.

Na wambea wa kujitegemea hata nyie mtakuwa mnalipwa mkituletea habari kuanzia 50,000 - mpaka milioni depending na ukubwa wa habari utakayotuletea. Yani hii app kila mtu atakaechangia content na yeye atanufaiika.


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz