Kwanini Wasichana Wengi Wanaliwa Sana na Wasaniii..Yaani Hawachomoi - EDUSPORTSTZ

Latest

Kwanini Wasichana Wengi Wanaliwa Sana na Wasaniii..Yaani Hawachomoi


Katika maisha hakuna kitu kikubwa sana kama talent. Ukiwa na talent yoyote ile unaweza kufanya kila kitu utakacho. Kupitia talent wengi wameweza kujiajiri wao wenyewe, kama vile talent ya music ambayo leo imemtoa kimaisha Diamond, Harmonize, Alikiba, na wasanii wengi.

JE UNAZANI NI KWANINI WANAWAKE WENGI WANALIWA SANA NA WASANII?

Msanii mmoja ambaye sitaki kutaja jina lake anasema;

"kiukweli talent yangu ya muziki imenipatia mademu wa kila aina pamoja na marafiki mbalimbali,
Suala la kuchakata mademu kwangu ni kama maji.

Mademu wamekuwa wakishoboka wao wenyewe, wengi wakitaka niwaimbie, hapo ndipo wanapojikuta wanaliwa papuchi fasta. Wapo walionifuata wenyewe na kuniapproch , wapo waliosifia nyimbo zangu na wakaja kuliwa baadae, wapo niliowatongoza kwa gia ya muziki na nikawala.

Kwangu mademu situmii nguvu zaidi ya kutumia kipaji changu cha muziki na naishia kuwala. Kuna demu juzi kati nilikutana nae njiani nikamuomba namba then baadae night tukaanza kuchati nikwamwambia ulivyo mzuri umesababisha hadi nimekutungia nyimbo special kwaajili yako, akanijibu "ooh embu nitumie basi".

Nikamtumia wimbo ambao nimemuimbia kwa sifa kedekede then nikamwambia uje home nikuimbie live kwahisia najua utaipenda, demu akajibu sawa, demu huyo akaja mpaka home nikaanza kumuimbia kwahisia, demu nikamuona genye zimempanda akaishia kuliwa safwiii.

Sipo hapa kujisifia ila my point ni kwamba kama hauna hela tumia talent yako, utawala sana hawa dada zetu siku hizi wanaliwa na watu wenye talent."


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz