elru87tYGBGEm Kumekucha..Usiku wa Kuamkia Leo P Square Wamekiamsha Vibaya Mno Nchini Sierra Leone - EDUSPORTSTZ

Latest

Kumekucha..Usiku wa Kuamkia Leo P Square Wamekiamsha Vibaya Mno Nchini Sierra LeoneUsiku wa kuamkia Leo, P Square wamekiamsha vibaya nchini Sierra Leone huku crowd ikishindwa kujizuia kuona washkaji wamerudi pamoja.


Tarehe 18/12 mwaka huu, P Square wametangaza kufanya Show yao rasmi ya kurudi kwenye game kama kundi kundi, mbali na hilo kwa mujibu wa @peterpsquare ,kundi hilo litafanya World Tour kuwafikia mashabiki zao waliowamiss kwa muda mrefu.

Binafsi nafurahia kurudi kwa hawa brothers sababu ni shabiki yao mkubwa sana.

@iamkingrudy @peterpsquare
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz