Kanye West Amekusudia Kuizika Bifu yake na Drake, Amtumia Ujumbe Huu - EDUSPORTSTZ

Latest

Kanye West Amekusudia Kuizika Bifu yake na Drake, Amtumia Ujumbe Huu


Kanye West amekusudia kuizika bifu yake na Drake, amemtumia ujumbe mzito akimuomba aungane naye wafanye tamasha la pamoja Disemba 7 mwaka huu kwa lengo la kumsaidia Larry Hoover aachiwe huru toka gerezani ambapo anatumikia kifungo cha maisha toka mwaka 1973.HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA UDAKU SPECIAL APP, DOWNLOAD HAPA UWE NAYO KWA SIMU YAKO..USIPITWE


YE alituma ujumbe huo akiwa na J. Prince ambaye ni godfather wa Drake, akisema;
"Nimetengeneza video hii kuzungumzia yote yanayo endelea kati yangu na Drake. Wote sisi tumekuwa tukitupiana maneno na sasa ni muda wa kumaliza tofauti zetu. Ninamuomba Drake aungane na Mimi Jukwaani mnamo Disemba 7 Jijini Los Angeles kama mgeni maalum kwa ajili ya kuziunganisha album mbili bora za mwaka kwa lengo kuu la kupaza sauti za kumuacha huru Larry Hoover." amesema Kanye West.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz