Huruma za Msanii Maluma Zawapa Kiburi WCB, Ikumbukwe Rayvanny Hakuitwa na MTV EMA Bali Alipandishwa tu Jukwani na Msanii - EDUSPORTSTZ

Latest

Huruma za Msanii Maluma Zawapa Kiburi WCB, Ikumbukwe Rayvanny Hakuitwa na MTV EMA Bali Alipandishwa tu Jukwani na Msanii


Inashangaza kuona Watanzania(hasa mashabiki wa WCB) wanafurahia Rayvanny kupandishwa kwenye Stage ya MTV EMA 2021 na kuperfome TETEMA Remix.

Hii inachekesha sana, Inatakiwa Tutengeneze Mfumo ili tufikie hatua ya wasanii wetu kupanda na sio kupandishwa kwenye hizi stage kubwa, huu utegemezi utatuponza siku moja.

Rayvanny amepandishwa kwenye stage kwa huruma tu ya maluma, yani rayvanny amepanda kama Zali la mentali hivi, lakini cha ajabu team yake WCB imeshaanza vijembe kibao kwa harmonize. Inabidi tusubiri miaka kumi ijayo ndio litatokea zali la mentali kama hili.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz