Harmonize: Mashabiki zangu msipoteze mabando yenu, sijachaguliwa kwenye tuzo zozote - EDUSPORTSTZ

Latest

Harmonize: Mashabiki zangu msipoteze mabando yenu, sijachaguliwa kwenye tuzo zozote
#Harmonize aonyesha kutokubaliana na utezi wake wa kuwa mmoja ya wasanii wanaowania tuzo mbalimbali nje ya nchi. Ikumbukwe @harmonize_tz ametajwa kwenye tuzo kadhaa kama #AEAUSA#AFRMA.

Lakini alichomaanisha amewaonya mashabiki wake kuwa wasijisumbue kuweka bando lao na kuliharibu kwani hajatajwa kwenye tuzo yoyote. Hicho ndicho alichoandika kupitia Insta stori yake.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz