Harmonize Kuingia Studio na 20 Percent Usiku wa Leo. - EDUSPORTSTZ

Latest

Harmonize Kuingia Studio na 20 Percent Usiku wa Leo.


Kulingana na post aliyoShare Kupitia insta story yake mwanamuziki @harmonize_tz usiku wa leo anakwenda kukamilisha ahadi yake aliyo itoa wiki kadhaa nyuma alipokua nchini marekani kuhusu kufanya kazi na mwanamuziki mkongwe #20percent.

Kupitia insta story yake Harmonize amepakia kipande cha video akiwa anasikiliza moja ya nyimbo za msanii huyo, na kuandika,↓
“Going in da studio with my brother 20% , Tonight Can't wait”

Msanii huyo mkongwe kwenye game ya BongoFleva ni moja kati ya wasanii wawili (pamoja na #diamondplatnumz) wanaoshikilia rekodi ya kushinda tuzo nyingi za 'KiliMusicAwards' katika usiku mmoja .

✍🏾@keviiiy.iam






Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz