Harmonize Amuomba Msamaha Kajala, Ampa Sifa Kibao - EDUSPORTSTZ

Latest

Harmonize Amuomba Msamaha Kajala, Ampa Sifa Kibao


Katika maandalizi ya kuachia album yake usiku huu @harmonize_tz amefanya Album Listening Session kupitia ukurasa wake wa Instagram na moja kati ya vitu ambavyo vimeteka hisia za wengi kwenye session hiyo ni kitendo chake cha kiungwana kumuomba msamaha aliyekuwa mpenzi wake @kajalafrida.

Harmonize anamtaja Kajala kama Mwanamke ambaye amemuonyesha mapenzi zaidi kati ya wote ambao amewahi kuwa nao kwenye mahusiano na hajasita kuonyesha hali ya kujuta kwa kile alichomkosea hadi kupelekea kuachana kwao.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz